Rais Magufuli akifurahia Mahindi ya Kuchoma katika eneo la Dumila, Morogoro wakati aliposimama kuzungumza na wafanyabiashara wadogowadogo katika eneo hilo akiwa njiani kuelekea Dodoma, ameahidi Serikali itawapa Mil 100 wajenge vibanda vya biashara “Mahindi nayo matamu mno jamani"
Tags
BREAKING NEWS