Polisi nchini Kenya wameanza msako mkali kuwatafuta watu 11 waliotoroka mahabusu baada ya kuchimba ukuta wa kituo cha polisi mjini Bungoma. Wawili kati ya waliotoroka ni watuhumiwa wa kesi ya mauaji.
Tags
BREAKING NEWS