HUSSEN MWINYI ACHUKUA FOMU YA UTEUZI

 Mgombea Urais wa Zanzibar kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM) amechukua fomu ya uteuzi wa kugombea nafasi hiyo. Akizungumza mara baada ya zoezi hilo amesema akichaguliwa ataondoa matabaka ya Upemba na Uunguja, Ukaskazini na Ukusini na utofauti wa kidini.




Post a Comment

Please Select Embedded Mode To Show The Comment System.*

Previous Post Next Post

Disqus Shortname

sigma2

Contact Form