Msimamizi wa Uchaguzi Jimbo la Singida Magharibi ametengua uteuzi wa mgombea ubunge wa ACT WAZALENDO, Suphian Juma kwa maelezo kuwa hajajibu vyema pingamizi la mgombea wa CCM, Elibariki Kingu. Kufuatia uamuzi huo, Juma amesema kuwa atakata rufaa kupinga uamuzi huo.
Tags
UCHAGUZI