AJALI YACHUKUA MAISHA YA WATU

 Basi la Sabuni Express linalofanya safari zake kati ya Kamachumu na Mwanza limepinduka Kyamalebe Wilayani Muleba leo, Polisi Kagera wamesema Watu zaidi ya watano wamepoteza maisha na majeruhi wapo zaidi ya 20 huku wanne wakiwa katika hali mbaya.


Post a Comment

Please Select Embedded Mode To Show The Comment System.*

Previous Post Next Post

Disqus Shortname

sigma2

Contact Form