Msajili Msaidizi wa Vyama vya Siasa Tanzania, Sisty Nyahoza (pichani) amesema kuwa, chama chochote cha siasa kinachoshiriki Uchaguzi Mkuu 2020 hakiruhusiwi kutumia zaidi ya Shilingi za Kitanzania Bilioni 17, katika shughuli zake zote kwenye uchaguzi.
Tags
UCHAGUZI