MESI MBIONI KUIACHA BARCELONA

 LIONEL MESI ameripotiwa kuwa anataka kuondoka Barcelona baada ya kipigo cha 8-2 kutoka kwa Bayern Munich. PSG na Man City ndizo klabu zinazopewa nafasi ya kunasa saini ya nyota huyo ambaye gharama ya kumng'oa Camp Nou kwa sasa ni TZS 1.6 trilioni. Mkataba wake unaisha 2021.


Post a Comment

Please Select Embedded Mode To Show The Comment System.*

Previous Post Next Post

Disqus Shortname

sigma2

Contact Form