JUVENTUS YATOA DAU KWA RONALDO

 Inasemekana kwamba Juventus haina tena msimamo wa kwamba Cristiano Ronaldo hawezi kuhamishwa hadi timu nyingine na huenda ikaamua kumuuza mchezaji huyo kwa kitita cha pauni milioni 54 huku Paris St-Germain ikimfuatilia kwa karibu kutaka kumsajili mchezaji huyo, 35.


Post a Comment

Please Select Embedded Mode To Show The Comment System.*

Previous Post Next Post

Disqus Shortname

sigma2

Contact Form