Waziri waA amesema ni marufuku kuwapa wanafunzi na wasichana balehe vidonge vya Folic Acid, badala yake fedha hizo zinazotolewa kwa ajili ya dawa hizo zitumike kuanzisha bustani shuleni ili kuzalisha vyakula vinavyotoa madini yanayopatikana kwenye vidonge hivyo. “Mbali na kuanzishwa kwa bustani shuleni, fedha zinaweza kupelekwa kwa vijana ili waanzishe miradi ya bustani za mboga kwa ajili ya kuzalisha mazao yanayozalisha asidi hiyo (Folic) yakiwemo maboga, matunda na hata karoti badala ya kutoa vidonge vya Folic Acid kwa wanafunzi”-UMMY MWALIMU
Tags
BREAKING NEWS