Mbunge wa Jimbo la Mbeya mjini anayemaliza muda wake, Joseph Mbilinyi 'Sugu' amerudisha fomu za uteuzi wa kugombea ubunge wa jimbo hilo kwa tiketi ya CHADEMA katika ofisi za Mkurugenzi wa uchaguzi wa jimbo hilo.
Tags
UCHAGUZI