Mamlaka ya Usafiri wa Anga Tanzania imezizuia kampuni tatu za ndege kutoka Kenya, AirKenya Express, Fly540 na Safarilink Aviation kufanya safari zake nchini kutokana na mvutano unaoendelea baina ya nchi hizo. Agosti 1, 2020 Tanzania ilizuia Shirika la Ndege Kenya kuingia nchini.
Tags
BREAKING NEWS