RAIS MAGUFULI AWATOA HOFU WAJUMBE

 “Mkutano huu una Ajenda moja kubwa kufanya uteuzi wa Wagombe Ubunge na Uwakilishi kupitia CCM, zoezi la uteuzi lilianza mwezi mmoja uliopita, ambapo kwa msamiati maarufu wa siku hizi Ndugu Wajumbe walipiga kura za maoni kupendekeza majina ya Wagombea na tupo hapa kuwajadili, 

Waliojitokeza kuwania nafasi mbalimbali kwenye CCM jumla walifika 43,461, ni mafanikio makubwa sana kwa Chama chetu, hakuna Chama kingine ambacho wemejitokeza Watu zaidi ya Elfu 43 inawezekana tumevunja rekodi Afrika,hiki ni Chama Dume na Chama Jike pia

Juzi na jana majina ya Wagombea yalijadiliwa kwenye vikao katika ngazi ya Kamati ya Usalama na Maadili na Kamati Kuu kwa ajili ya uchambuzi wa kina, uchambuzi ulikuwa wa kina kweli, tulitumia taarifa kutoka vyanzo vingi, niwathibitishie Wajumbe nimesoma majina yote 10,367",alisema.


Post a Comment

Please Select Embedded Mode To Show The Comment System.*

Previous Post Next Post

Disqus Shortname

sigma2

Contact Form