MKUU wa wilaya ya kisarawe amekubali ombi la kuwa Mlezi Mkuu wa Kamati ya Ujenzi wa Msikiti wa ghorofa 2 wa Masjid Islamiya ambao unatarajiwa kuwa msikiti mkubwa zaidi Kisarawe na ameahidi kuwatafuta Wafadhili wakusaidia ujenzi huo utakaogharimu Tsh. Mil 500.
Tags
BREAKING NEWS