Club ya Yanga SC leo imetangaza kufuta mpango wa kumuajiri kocha Cedric Kaze raia wa Burundi sababu ya kocha huyo kaomba kuchelewa kufika kwa wiki tatu mbele ili amalize matatizo yake ya kifamilia
Tags
SPORTS