RC Mbeya Albert Chalamila, amesema ukosefu wa vyoo katika Shule ya Msingi Sisimba ni aibu kwa waliosoma katika shule hiyo kongwe, na kuwaomba wananchi kuanza kuchangia ujenzi wa vyoo kabla yeye hajaanza kuwasaka wale waliosoma mahali hapo ili wachangie kwa lazima.
Tags
BREAKING NEWS