Kamati ya Sheria na Hadhi za wachezaji ya TFF leo wameshindwa kufikia maamuzi ya sakata la mkataba kati ya Bernard Morrison na Yanga kutokana baadhi ya nyaraka muhimu kutoka pande zote mbili kushindwa kupatikana hivyo wataendelea tena kesho Agosti 12.
Tags
SPORTS