Rais wa Mali Ibrahim Boubacar Keita ametangaza kujiuzulu kupitia TV ya Taifa saa chache baada ya Wanajeshi waasi kumkamata yeye pamoja na Waziri Mkuu wake Boubou Cisse katika mji mkuu wa Bamako, Keita amelivunja pia Bunge “sitaki damu imwagike kisa mimi kubaki madarakani.
Tags
BREAKING NEWS