Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) imemteua Rais Dkt. JOHN MAGUFULI kuwa Mgombea wa Urais wa TANZANIA na Makamu wa Rais, SAMIA SULUHU kuwa Mgombea Mwenza kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM). Wagombea hao wamerejesha fomu za uteuzi leo kwenye ofisi za NEC, Dodoma.
Tags
UCHAGUZI