"Jeshi la Polisi linashirikiana na vyombo vingine vya ulinzi na usalama,kuhakikisha kampeni za uchaguzi, utangazwaji wa matokeo na baada ya uchaguzi kunakuwepo na usalama,amani na utulivu, tumefanya mafunzo ya ziada kwa vikosi vya utayari na niwahakikishie tupo vizuri sana"-SIRRO
Tags
UCHAGUZI