MAJINA WAGOMBEA KITI CHA URAIS YABANDIKWA

 Maafisa wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) wakibandika majina ya walioteuliwa kugombea kiti cha Rais na Makamu wa Rais wa Tanzania nje ya ofisi za NEC, jijini Dodoma. Hatua hii inatoa fursa ya kuwekwa pingamizi kwa wagombea hao ambapo mwisho ni saa 10:00 jioni, Agosti 26, 2020.


Post a Comment

Please Select Embedded Mode To Show The Comment System.*

Previous Post Next Post

Disqus Shortname

sigma2

Contact Form