Protesters in Nigeria have set fire to the country's highest court building as they continue their protests against police brutality. In addition, the protests, which have begun to take shape, have killed 12 people, according to Amnesty International.
=====================================
Waandamanaji nchini Nigeria wamechoma moto jengo la mahakama ya juu nchini humo wakati wakiendelea na maandamano kupinga ukatili wa polisi. Aidha, maandamano hayo ambayo yameanza kuchukua sura ya kisiasa yamesababisha vifo vya watu 12 kwa mujibu Amnesty International.
Tags
BREAKING NEWS