Ten people have died and five others have been injured and taken to Nyamiaga Select Hospital in Ngara District, after a passenger car belonging to an Emirates company crashed from Ngara to Bukoba. The hospital's medical officer, David Mapunda, confirmed it
====================================
Watu 10 wamefariki dunia na wengine watano kujeruhiwa na kupelekwa hospitali teule ya Nyamiaga wilayani Ngara, baada ya gari la abiria mali ya kampuni ya Emirates kuanguka likitokea Ngara kwenda Bukoba. Mganga mfawidhi wa hospitali hiyo, David Mapunda amethibitisha
Tags
BREAKING NEWS