For the first time since the start of the CCM campaign in Njombe Constituency in the city, the party's co-secretary in Njombe Region Erasto Ngole has knelt down in the middle of Kibena Street asking for votes from President Dr. John Magufuli MP Deo Mwanyika and CCM Councilor
====================================
Kwa mara ya kwanza toka kuanza kwa kampeni za Ccm Jimbo la Njombe mjini,katibu mwenezi wa Chama hicho Mkoani Njombe Erasto Ngole amewapigia magoti wananchi wa mtaa wa Kibena kati akiomba kura za Raisi Dr. John Magufuli MbungeDeo Mwanyika na Diwani wa CCM
Tags
UCHAGUZI