Rasmi Barcelona imekubali yaishe kwa Lionel Messi na imebariki uhamisho wake kujiunga na Manchester City katika dirisha lijalo la majira ya kiangazi. Messi (33) alikuwa anataka kuondoka katika dirisha lililopita, lakini dili lilifeli kwenye dakika za mwisho.
======================================
Barcelona have officially agreed to end Lionel Messi and have approved his transfer to Manchester City in the next summer window. Messi (33) wanted to leave in the last window, but the deal failed in the final minutes.
Tags
SPORTS