''Taarifa za awali zilitolewa kwamba mawakala wetu kule Sumbawanga wamefariki wanne, lakini mpaka sasa hivi majeruhi mmoja amefariki, kwahiyo wameongezeka na sasa jumla ya mawakala wa chama watano wamefariki'' - Jj Mnyika
=====================================
"It was previously reported that four of our agents in Sumbawanga have died, but so far one casualty has died, so they have increased and now a total of five party agents have died," said Jj Mnyika.
Tags
UCHAGUZI