The government has reminded religious leaders to refrain from using political platforms to bid for political parties as doing so would be tantamount to infringing on the constitutional right to choose one's candidate. The call was made by Home Affairs Minister George Simbachawene
=====================================
Serikali imewakumbusha viongozi wa madhehebu ya dini kuacha kutumia majukwaa ya kisiasa kuwanadi wagombea wa vyama vya siasa kwani kufanya hivyo ni kuingilia uhuru wa kikatiba wa mtu kumchagua mgombea anayemtaka. Wito huo umetolewa na Waziri wa Mambo ya Ndani, George Simbachawene
Tags
BREAKING NEWS