Rais wa zamani wa Burundi, Pierre Buyoya, ambaye kwa sasa ni mwakilishi maalum wa Umoja wa Afrika nchini Mali, amehukumiwa kifungo cha maisha jela baada ya kupatikana na hatia ya kumuua mrithi wake mwaka 1993, kwa mujibu wa uamuzi wa mahakama.
======================================
Former Burundian President Pierre Buyoya, who is currently the African Union's special envoy to Mali, has been sentenced to life in prison after being found guilty of killing his successor in 1993, according to a court ruling.
Tags
BREAKING NEWS