AC Milan emerged victorious with a 2-1 win over Inter Milan in Serie A. AC Milan's goals were both scored by Zlatan Ibrahimovic in the 13th and 16th minutes while Inter's goal was scored by Romelu Lukaku in the 29th minute.

==================================AC Milan wameibuka na ushindi wa magoli 2-1 dhidi ya Inter Milan katika mchezo wa Seria A. Magoli ya AC Milan yote mawili yamefugwa na Zlatan Ibrahimovic dakika ya 13' na 16' huku goli la Inter likifugwa na Romelu Lukaku dakika ya 29'.