Manchester United have extended midfielder Paul Pogba's one-year contract extension through a clause in his previous contract so he will remain at Old Trafford until June 2022.
=====================================
Klabu ya Manchester United imemuongezea mkataba wa mwaka mmoja kiungo, Paul Pogba kupitia kipengele kilicho kuwa katika mkataba wake wa awali hivyo ataendelea kusalia Old Trafford hadi Juni 2022.
Tags
SPORTS
