Police in Kagera Region are holding Dr Fake Frodius Protas 24 on suspicion of causing the death of Saraiya Idd (25) after pretending to be a Doctor and trying to abort her for six months.
=========================================
Polisi Mkoani Kagera wanamshikilia Daktari Feki Frodius Protas 24 kwa madai ya kusababisha kifo cha Saraiya Idd (25) baada ya kujifanya Daktari na kujaribu kumtoa mimba ya miezi sita “baada ya kufariki aliamua kutafuta eneo na kumzika ili kupoteza ushahidi”
Tags
BREAKING NEWS