President Dr. John Magufuli has launched train journeys between Dar es Salaam and Arusha. TRC Director General Masanja Kadogosa said the last time the train made its way to the route was in 1986. Renovation of the railway by local engineers cost TZS 14 billion.
===================================
Rais Dkt. John Magufuli amezindua safari za treni kati ya Dar es Salaam na Arusha. Mkurugenzi Mkuu wa TRC, Masanja Kadogosa amesema mara ya mwisho treni kufanya safari kwenye njia hiyo ni mwaka 1986. Ukarabati wa reli hiyo uliofanywa na wahandisi wa ndani umegharimu TZS bilioni 14.
Tags
BREAKING NEWS