Kiongozi wa upinzani nchini Guinea, Cellou Dalein Diallo hapo jana Oktoba 19, 2020 amejitangaza kuwa ameshinda uchaguzi wa rais bila ya kusubiri matokeo rasmi, akimbwaga rais wa sasa, Alpha Conde, ambaye ameibua utata kwa kugombea nafasi hiyo kwa kipindi cha tatu.
==========================================================================
Guinea's opposition leader Cellou Dalein Diallo announced on October 19, 2020 that he had won the presidential election without waiting for the official results, ousting the current president, Alpha Conde, who has sparked controversy by running for a third term.
Tags
UCHAGUZI