DITOPILE ASEMA SHEIKH PONDA ANAJITIA NAJIS

 Mgombea Ubunge Viti Maalum Mkoa wa Dodoma, Mariam Ditopile amemshukia Sheikh Issa Ponda kuwa anatumika huku akisema msimamo alioutoa juu ya waislamu kumuunga mkono Lissu ni batili na umelenga kuchochea machafuko jambo ambalo halikubaliki.



"Sheikh Ponda anatia najisi cheo cha Sheikh, anasema Waislamu wote wanaiunga mkono CHADEMA mbona mimi sitoipigia kura CHADEMA, tunapaswa kuwaepuka wapinzani hapa hawajachukua nchi wameshaanza kutugawa kwa imani za dini tukiwapa nchi si watatutawala kidini" Mariam Ditopile



Dk. John Magufuli licha ya kuwa Mkristo lakini amesaidia kutujengea Waislamu msikiti mkubwa Afrika Mashariki, huyu ndio Rais asiye mbaguzi. Vikundi vinavyomtumia Ponda tunavijua, Serikali ya CCM chini ya Dk. Magufuli haipo tayari kuruhusu wananchi wake wapate shida"Mariam Ditopile

======================================

Dodoma Constituency parliamentary candidate Mariam Ditopile has accused Sheikh Issa Ponda of serving, saying his stance on Muslims in support of Lissu is invalid and aimed at inciting unrest which is unacceptable.



"Sheikh Ponda defiles the title of Sheikh, he says all Muslims support CHADEMA why don't I vote for CHADEMA, we should avoid the opposition here they have not taken the country they have already started dividing us by religious beliefs if we give them the country they will not rule us religiously" Mariam Ditopile



Dr. John Magufuli, despite being a Christian, has helped to build a mosque for Muslims in East Africa, this is a non-racial President. The groups that use Ponda we know, the CCM Government under Dr. Magufuli is not ready to let his people get in trouble "Mariam Ditopile







Post a Comment

Please Select Embedded Mode To Show The Comment System.*

Previous Post Next Post

Disqus Shortname

sigma2

Contact Form