The aerial inspection conducted today October 16.2020 this morning revealed that the fire that was burning on Mount Kilimanjaro has been controlled mainly in the lowlands. In addition the Soldiers have been dispersed throughout the mountain areas with greater caution.
=====================================
Ukaguzi wa anga uliofanywa leo Oktoba 16.2020 majira ya asubuhi umebaini kuwa moto uliokuwa ukiwaka mlima Kilimanjaro umedhibitiwa hasa kwenye maeneo ya tambarare juu ya mlima. Aidha vikosi vya Askari vimetawanywa katika maeneo yote ya mlima kwa tahadhari zaidi.
Tags
BREAKING NEWS