CHAMA ASEMA SIMBA INA MATUMAINI MAKUBWA YA KUSHINDA LIGI YA MABINGWA AFRIKA

Lions midfielder, Clatous Chama  has high hopes for their team to do well in the African Champions League this season. The tournament is expected to start on November 20, this year where the preliminary stage games will be played. Simba are the only Tanzanian representatives in the tournament.

======================================

Kiungo wa Simba, Clatous chama ana matumaini makubwa ya timu yao kufanya vizuri kwenye Ligi ya Mabingwa Afrika msimu huu. Michuano hiyo inatarajiwa kuanza Novemba 20, mwaka huu ambapo michezo ya hatua ya awali itapigwa.Simba ndiyo wawakilishi pekee wa Tanzanian katika michuano hiyo.



Post a Comment

Please Select Embedded Mode To Show The Comment System.*

Previous Post Next Post

Disqus Shortname

sigma2

Contact Form