Tarime Town Council in Mara Region has handed over a check worth 62 million shillings for 11 groups of young women and the disabled as revenue from local sources where Tarime District Commissioner, Engineer Mtemi Msafiri has appealed to groups of women, youth and people with disabilities who benefited from council loans from 11 groups, repaying money on time so that other groups could continue to borrow for economic recovery.
====================================
Halmashauri ya Mji wa Tarime Mkoani Mara imekabidhi hundi yenye thamani ya shilingi milioni 62 kwa ajili ya vikundi 11 vya wanawake vijana na walemavu ikiwa ni mapato kutokana na vyanzo vya ndani ambapo mkuu wa Wilaya ya Tarime, Mhandisi Mtemi Msafiri amevisihii Vikundi vya wanawake, vijana na watu wenye ulemavu walionufaika na mikopo ya halmashauri kutoka kwenye vikundi 11, kurejesha fedha kwa wakati ili vikundi vingine viendelee kukopa kwa ajili ya kijikwamua kiuchumi.