BEKI WA FLAMENGO ALIONDOLEWA UWANJANI BAADA YA KUUMIA KORODANI

Flamengo defender Gustavo Henrique recently had to be removed from the field after suffering a hamstring injury and bleeding. This was in a game between Flamengo and Corinthians in which the team emerged with a 5-1

======================================

Beki wa klabu ya Flamengo, Gustavo Henrique, hivi karibuni alilazimika kuondolewa uwanjani baada ya kuumia korodani na kuanza kuvuja damu. Hii ilikuwa kwenye mchezo kati ya Flamengo na Corinthians ambao timu hiyo iliibuka na ushindi wa mabao 5-1.



Post a Comment

Please Select Embedded Mode To Show The Comment System.*

Previous Post Next Post

Disqus Shortname

sigma2

Contact Form