Klabu ya Amazulu imethibitisha kumsajili kiungo wa zamani wa Kaizer Chiefs na Bafana Bafana Siphiwe Tshabalala. Mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 36 mara yake ya mwisho kucheza katika Ligi ya PSL ilikuwa Agosti 2018.
=====================================
Amazulu have confirmed the signing of former Kaizer Chiefs and Bafana Bafana midfielder Siphiwe Tshabalala. The 36-year-old made his PSL debut in August 2018.
Tags
SPORTS