Kamati ya Maadili ya Kitaifa ya NEC imefuta adhabu ya siku saba iliyokuwa imetolewa na kamati ya maadili kwa wagombea ubunge wa NCCR-Mageuzi, James Mbatia (Vunjo) na Anthony Komu (Moshi Vijijini) kuanzia kuanzia 17-23 Oktoba 2020 baada ya rufaa zao kukubaliwa.
======================================
The NEC National Ethics Committee has revoked the seven-day sentence imposed by the ethics committee on NCCR-Reform parliamentary candidates, James Mbatia (Vunjo) and Anthony Komu (Moshi Rural) from 17-23 October 2020 after their appeals were accepted.
Tags
UCHAGUZI