Muslim midfielder Paul Pogba has resigned from the French national team squad after being angered by French President Macron's statement that "Islam is the source of international terrorism."
====================================================
Mchezaji Paul Pogba ambae ni Muumini wa dini ya Kiislamu amejitoa katika kikosi cha timu ya taifa ya Ufaransa baada ya kuchukizwa na kauli ya Rais Emmanuel Macron wa Ufaransa kusema “dini ya kiislamu ndio chanzo cha ugaidi wa kimataifa”
Tags
SPORTS