"Ahadi zangu mimi siyo za uongo, ninawaomba Oktoba 28 mfanye mabadiliko, mimi ni mtumishi wenu ninawapenda watu wote, hata wamachinga ni wangu, wenye shida, akina mama na yatima wote ni wangu nataka tufanya mabadiliko ya kweli"- John Magufuli
======================================
"My promises are not false, I ask you on October 28 to make a change, I am your servant I love all people, even the shepherds are mine, the needy, mothers and orphans are all mine I want us to make real change" - John Magufuli
Tags
UCHAGUZI