UNAELEWA NINI UNAPOSIKIA KHUSU DARK WEB? leo tujifunze kidogo kuihusu
- Usijaribu kuingia kwenye hii website rafiki, Utafanywa bidhaa.
- Zijue Biashara zinazofanyika huko, sio Biashara za kuuza nyanya na barakoa.
- Kwanini iPhone haidukuliki? Ma-hacker wa dunia wapo huku.
tuendelee kujifunza zaidi kuhusu dark web
Website imegawanyika katika makundi 3, kuna; Surface web, Deep web na Dark web ambayo ipo ndani ya Deep web.
Surface web ni hii ambayo tunaitumia sisi watu wa public. Imebeba Google,Yahoo,YouTube, Social media na website mbalimbali. Ina 5% ya internetyote duniani.
Deep web hii ni web ya siri ambayo mtu wa surface hawezi ona maudhui yake. Ilitengenezwa na Computer scientist Michael K. Bergman 2001. Ikawekwa ki-HTTP (hapa elimu inaitajika kidogo).
Inatumika kwenye database za Ma-Benk, Ofisi za serikali, Google drive,Drop box, database za taasisi mbalimbali n.kImebeba 90% ya internet yote duniani.Dark web hii ndio tutaijua kiundani zaidi leo, Twende sasa tuanze kuichambua zaidi
·
Dark web ni web inayotoa maudhui kwenye kiza kwa kutumia software maalumu. Hii ni sehemu ya deep web ila haipo kwenye search engine ya deep web. Inatoa mawasiliano ya mtu na mtu au Kikundi na kikundi kwa kutumia software kama TOR, FREENET, 12P na REFFLE.
Tor browser ni baadhi ya website inayotumiwa ikiwa na kiunganisho cha .union, sisi wa tarime tushazoea .com yetu. Logo ya Tor ni kitunguu ikiwa na maana taarifa zako zipo safe, ila ukiingia kichwa kichwa tunajua kwamba kitunguu kinatoaga watu machozi. Utalia
Huku zinafanyika Biashara nyingi sana sana sana. Sio Biashara za kuuza nyanya na matango ufikiri kwamba ukanunue barakoa na sanitizer ukatafute soko dark web.
Utafanywa bidhaa my friend. Huku zinafanyika Biashara za passport fake, Uuzaji wa Madawa ya kulevya, risasi, vitabu,kamari, bitcoin (Uzi wake utakuja) na zile Biashara za tabia mbaya.
Ualifu mwingi unafanyika humu vikundi kama ISIS vinafanya mikutano yao humu, vikundi vya magaidi wanafundisha na kuuziana silaha na teknolojia.
Wadukuzi wakubwa duniani Wapo huku, inashangaza sana sana mtu anatumia opera min kuiba account ya mtu ya Twitter. Huku wajuba wanafikiria kusepa na makao makuu Twitter.
Uku ukiingia lazima utumie VPN udanganye location uliyopo wataweza wakakuona upo Argentina kumbe upo na sisi hapa muleba.Lazima uvae mask ufiche sura yako ikiwezekana jipige bandeji mwili mzima.
Maana wadukuzi wakishapata sura yako wataweza itumia kwenye ualifu alafu majasusi waje hapo Nyumbani kwenu tandaimba ukafunguliwe kesi miaka 10+ au unyongwe.
Amazon wenyewe wapo huku wanafanya Biashara zao Kama kawaida unaagiza mzigo na unakufikia bila tatizo. Bitcoin ndiyo pesa zinazotumika huku utaweza ukafanya miamala kwa PayPal n.k.
Tatizo litaanzia hapa pale umekubaliana na mtu apeane kitu flani either ni passport au ni kakitu tuh umekapenda ukaambiwa ulipie, ukijiloga ukajaza CVV za account yako ya Bank iyo bwana mdogo imekula. Wadukuzi watakomba kila kitu kilichopo mpaka account isome sifuri ndogo "o".
Ukitumia email yenye mambo yako mengine inafanywa keki. Kuna mtu hamna mchongo wowote hapa town anataka kuingia tuh.
Sijui anataka kwenda kutalii kule hamna twiga kuna kuna taarifa za siri. Kuna chocho utaweza ukaingia computer yako itumie virus iaribike. Wengi wamelizwa.
Kuingia dark web sio kosa kosa ni wewe ufanye Ualifu, sheria zinajulikana ni vifungu vitafanya kazi tuh. Ukishaona kitu kinaitwa kiza jua huko sio sehemu pa kuchezea. Data base za Facebook, iPhone zipo huko. Wanajua kila kitu, usione iPhone ili Dark web unaweza ukaingia kwa kutumia Computer au simu yako.
Wengi wanaotumiaga simu wanalizwaga kwasababu wana-mawenge walivyo safe ukazani wapo wapo tuh kienyeji.
Ma-hacker wengi wanakesha sana huku wakiwa wanajitafutia kipato. Hizi mambo wengi hawazisomeagi inakuaga ni utundu wa mtu tuh.Ukishakua addicted itakua unapenda upweke maisha yako yote yatakua ni wewe na computer.
Dark web unaweza Dark web unaweza ukaingia kwa kutumia Computer au simu yako. Wengi wanaotumiaga simu wanalizwaga kwasababu wana-maweng