The construction of the Chamwino Mosque in Dodoma Region which President Magufuli promised he will work with other citizens to build it and he started by raising money when he was at the inauguration of the church Chamwino Aug 23 and found Tsh. 48 million, finally completed.
====================================
Ujenzi wa Msikiti wa Chamwino Mkoani Dodoma ambao Rais Magufuli aliahidi atashirikiana na Wananchi wengine kuujenga na akaanza kwa kuchangisha fedha alipokuwa kwenye uzinduzi wa kanisa Chamwino Aug 23 na ikapatikana Tsh. Milioni 48, hatimaye umekamilika.
Tags
BREAKING NEWS