Simba SC emerged with a 3-1 win over Mlandege in a friendly match played at Azam Complex, Chamazi. Simba's goals were scored by Mugalu who scored two minutes 8 'and 68' along with Ame 16 'while Mwandege's goal was scored by Yahya Haji 72'.
=====================================
Simba SC imeibuka na ushindi wa magoli 3-1 dhidi ya Mlandege katika mchezo wa kirafiki uliochezwa katika uwanja wa Azam Complex, Chamazi. Magoli ya Simba yamefugwa na Mugalu aliyefunga mawili dk 8’ na 68’ pamoja na Ame 16’ huku goli la Mwandege likifungwa na Yahya Haji 72’.
Tags
SPORTS
