Benki ya Maendeleo ya Afrika (AfDB) imeidhinisha mkopo wa bilioni 117.57 ($50.7m) kwa Tanzania kwa ajili ya kupambana na madhara ya corona. Mkopo huo unalenga kuongezea katika kiasi cha bilioni 252.77 kilichotengwa na Serikali katika kushughulikia janga hilo.
======================================
The African Development Bank (AfDB) has approved a $ 117.57 billion ($ 50.7m) loan to Tanzania to combat the effects of corona. The loan aims to increase the amount of 252.77 billion allocated by the Government in addressing the crisis.
Tags
BREAKING NEWS