Mwanza Regional Police Commander, Jumanne Muliro checking the 49 voting cards found by the three suspects in Magu district and arrested by the police force including the councilor candidate for Kabila Ward Chadema in Magu district.
======================================
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mwanza, Jumanne Muliro akihakiki kadi za kupigia kura 49 walizokutwa nazo watuhumiwa watatu wilayani Magu na kutiwa mbaroni na jeshi la polisi akiwemo mgombea udiwani Kata Kabila chadema wilayani Magu.
Tags
UCHAGUZI