Mwenyekiti wa NEC Jaji Mstaafu Semistolces Kaijage, amemteua Tundu Lissu kuwa Mgombea wa Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Salum Mwalimu kuwa mgombea wa nafasi ya Makamu wa Rais kupitia CHADEMA.
Tags
UCHAGUZI