JESHI KUUNDA SERIKALI YA MPITO

 

Jeshi la Mali limeahidi kuunda serikali ya mpito kuelekea uchaguzi mkuu. Hatua hiyo imekuja baada ya Rais Ibrahim Keïta kutangaza kujiuzulu kufuatia kushikiliwa na jeshi la nchi hiyo. Jumuiya za Afrika na zile za kimataifa zimekemea mapinduzi hayo kuwa yamekiuka katiba ya nchi.

Post a Comment

Please Select Embedded Mode To Show The Comment System.*

Previous Post Next Post

Disqus Shortname

sigma2

Contact Form