MESSI APELEKA MAOMBI YA KUVUNJA MKATABA

 Taarifa kutoka vyanzo vya kuaminika vya FC Barcelona zinaeleza kwamba nahodha wa timu hiyo Lionel Messi amepeleka maombi rasmi ya kutaka kuvunja mkataba wake wa kuendelea kuitumikia klabu hiyo. Carles Puyol, mchezaji wa zamani wa Barca, ame-tweet kumpa support Messi.


Post a Comment

Please Select Embedded Mode To Show The Comment System.*

Previous Post Next Post

Disqus Shortname

sigma2

Contact Form