Kenya imetangaza kuwa henda ikafungua shule na vyuo mapema zaidi, kabla ya Januari 2021, endapo maambukizi ya virusi vya corona yataendelea kupunguka. Awali taifa hilo lilifuta mwaka wa masomo 2020 ili kudhibiti COVID 19. WHO na UNICEF zimezisihi nchi za Afrika kufungua shule.
Tags
BREAKING NEWS